The Mwalimu Bank Visa Prepaid card is a payment card which is setup to help customers have wide range of options to transact on different ATM machines with VISA sign
Uzinduzi wa MwalimuCard Visa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mh. Selemani S. Jafo (Mb) akizindua rasmi MwalimuCard Visa ya Mwalimu Commercial Bank. Uzinduzi ulifanyika tarehe 11/03/2021 jijini Dodoma