Do something Today
To secure your Future.
Mwalimu Mobile
The power in your pocketĀ *150*31#
Activate your Card
In under 60 seconds using our automated Mwalimu Wakala. You can also activate through an ATM.
FOREX MARKET:
MWALIMU COMMERCIAL BANK YAZINDUA BIDHAA YA ADA CHAP CHAP
Katika jitihada za kuunga mkono juhudi za Serikali kwenye kukuza sekta ya Elimu kwa ujumla, Mwalimu Benki imeanzisha bidhaa mpya ya ADA CHAP CHAP ambayo inalenga kuwasidia wazazi/wanafunzi wanaokua wamekwama ulipaji wa ada kwa wakati.
Mkopo huu ni wa muda mfupi wenye riba na nafuu utafanikisha kulipa ada ya mwaka mzima na hivyo kumfanya mzazi/mwanafunzi kusoma kwa utulivu. Katika kufanikisha hilo Mwalimu Benki imeingia mkataba na wamiliki wa shule mbalimbali ili kutoa mikopo ya masharti nafuu kuunga mkono juhudi za Serikali katika kuinua elimu pamoja na stadi za ujuzi kupitia vyuo mbalimbali.
Shule na vyuo ambavyo tayari wana mikataba na Benki kwa ajili ya kukopesha wazazi/wanafunzi ADA CHAP CHAP ni Eagles High School-Bagamoyo, City College of Health and Allied Science Kampasi ya Ilala na Goba (Mount Ukombozi), Covenant Institute of Accountancy and Technology-Kurasini, Convenant Financial Consults kwa wanataaluma wa Uhasibu (CPA) na Institute of Heavy Equipment and Technology-Kijitonyama. Mwalimu Benki bado tunaendelea kupokea wabia wengine, wamiliki wa shule na vyuo mbalimbali ili kuweza kuwafikia wahitaji wengi.
Amsha Amsha na Mwalimu Mobile *150*31#
Mwalimu Commercial Bank PLC aimed at bringing closer all teacher and Education stakeholders
to use their bank and grow together as one community (BETTER TOGETHER).
Mabadiliko ya gharama za uendeshaji akaunti.
Account Opening Application form.
Wastaafu Application form.