[Uzinduzi wa MwalimuCard VISA]
Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mh. Selemani S. Jafo (Mb) akizindua rasmi MwalimuCard Visa ya Mwalimu Commercial Bank. Uzinduzi ulifanyika tarehe 11/03/2021 jijini Dodoma.