Huduma zote zinazohusiana na usajili na hisa za MWALIMU COMMERCIAL BANK zinafanywa na Kampuni ya CSD & Registry Company Limited (CSDR). Kwa Mwanahisa anayehitaji kubadili taarifa zake kama vile akaunti, anuani au hajalipwa gawio awasiliane moja kwa moja na CSDR kwa anuani ifuatayo:
Msajili wa Hisa
CSD & Registry Company Limited
Kambarage House, Gorofa ya 2, Mtaa wa Ufukoni
S.L.P 70081
Dar es Salaam
Simu: 0746 160516 / 0677 070414
Barua Pepe: registrar@csdr.co.tz
We wish to inform the shareholders of Mwalimu Commercial Bank who have share transmission issues or want to change their details or with dividend issues should contact CSD & Registry Company Limited (CSDR) through the following address:
Registrar
CSD & Registry Company Limited
Kambarage House, 2nd Floor, Ufukoni street
P.O. Box 70081
Dar es Salaam
Hotline: 0746 160516 / 0677 070414
Email: registrar@csdr.co.tz